Kisonara cha Kimataifa · Dar es Salaam
Ufundi wa kisonara wa hali ya juu — dhahabu, fedha na vito vya thamani, vinavyotengenezwa kwa uangalifu na kuaminika kwa vizazi.
Huduma Zetu
Tunatengeneza pete, mikufu, hereni na bangili za dhahabu na fedha kwa ubunifu wa kisasa na wa asili.
Una muundo wako wa vito? Tunapokea order maalum na kukamilisha kwa kipindi tulichokubaliana.
Tunanunua dhahabu na fedha kwa bei nzuri na uwazi, kupitia mizani sahihi na uthibitisho wa ubora.
Vito vyako vya zamani vinaweza kurejeshwa au kubadilishwa muundo kuwa kitu kipya kabisa.
Kuhusu Sisi
Sonara Abuu ni kituo cha kuaminika cha kutengeneza na kuuza vito vya dhahabu na fedha, kwa ubora na uzoefu wa miaka mingi katika ufundi wa kisonara.
Jumatatu – Jumamosi: 08:30 – 19:00
Jumapili: 10:00 – 15:00
Wasiliana Nasi
📍 Dar es Salaam, Tanzania
📞 +255 686286538
Sakinisha ukurasa huu kama app ili kuupata haraka wakati wowote — bila kupitia store.